Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye account yako ya Playmaster hiyo pesa uliyotoa imekatwa....??
Kama vipi wambie unaenda kuwashtaki kama hawatashughulikia tatizo lako..
Ndio mkuu. Kampuni ya simu ninayotumia wamesema niwasiliane na pmbet. Na wao wapokimya mpaka sasa.
 
Ndio mkuu. Kampuni ya simu ninayotumia wamesema niwasiliane na pmbet. Na wao wapokimya mpaka sasa.
Premier bet ******* sana nimewapigia hawapokei sim wamekula hela yangu aisee
 
Kwenye account yako ya Playmaster hiyo pesa uliyotoa imekatwa....??
Kama vipi wambie unaenda kuwashtaki kama hawatashughulikia tatizo lako..
Nimesha waambia kuwa, najua kuna mamlaka inashughulikia michezo hii Tanzania. Na mimi kufika ofisini kwao sio shida endapo wataendelea kupuuzia hili tatizo, hawajajibu bado.
 
Hawa 1xbet nao wapuuzi wanatoa promo code eti usizidishe odd 1.80 walakupunguza
 
Nimesha waambia kuwa, najua kuna mamlaka inashughulikia michezo hii Tanzania. Na mimi kufika ofisini kwao sio shida endapo wataendelea kupuuzia hili tatizo, hawajajibu bado.
Ikiwezekana nenda betshop...waelezee tatizo wao watawapigia wahusika wakuu...na usiondoke mpaka tatizo liwe solved....
 
Ubarikiwe sn mkuu.

Ila kidogo na mm nmeanza kuuona mwanga ktk kuinvest kwny basket.

Tokea ijumaa, nmekua nabet kwa kuvizia.

Kabla sjalala,nmekua nikiacha cheque kwny basket.

Pia, kuna na mchezo wa handball na volleyball

Kule nako nmeona kuna unafuu sn, maana naona competition in ndogo

Na timu kubwa znashnda sana.

Na mungu mkubwa,kote huko nmekua nabet kwa majaribio.

Na nmekua nakula sana.

My take:

Ndugu zangu,
NI WAKATI SASA WA KUBADILIKA NA TUWE FLEXIBLE ZAIDI.

NI VEMA ZAID KUIFAHAMU MICHEZO MINGI ILI KUWA NA UWANJA MPANA WA KUMLA MUHINDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…