Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,
Hiyo game ya Madrid vs celta.

Msisahau kuwabetia corner.

Kuna coner nyng sn kwny hyo game

Madrid anatanua sana pemben kupga cross kwa ajil ya CR7 na Benzm wapige header.

Pia Celts akiwa home,hasa akicheza na timu kubwa huwa anatanua na kushambulia sana ili apate goli LA mapema.

KWAHYO,
OPTION SALAMA ZAIDI NI CORNER KWNY HYO GAME
 


Nitajaribu na huko kwenye michezo mingine
 
ALIEFWATAAA HIII TUMSHUKURU MUNGU WENGINE TULIWEKA NUSU MSHAHARA

[1/7, 12:04] godlisten edwin: Spain
Time 14:00 – Game ID: 5411
Leganes – Real Sociedad
⚽️HT Under 1.5 @1.30
⚽️HT X @1.95
⚽️HT cs 0:0 @2.35
[1/7, 15:59] godlisten edwin: ALL *BOOOOOOOOM*
HT UND *BOOOOOOOM*
HT X *BOOOOOOM*
HT CS 0-0 *BOOOOOM*
 
Nimtoe Nani hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20180107-161859-01.jpeg
    40.4 KB · Views: 43
Na jembe lingine Barcelona W... kule Spain...mpaka sasa kashampa mtu 4 o'clock.
Dah, aisee nlimsahau km ana mechi Leo.

Yaan hao huwa NI pesa nje nje.

Tena timu za pesa km hzo huwa nacheza single bet peke ake.

Maana unawz ukachanganya na wengne,akatokea mpuuz mmoja akaichana pesa.
 
  1. [1/7, 16:23] ‪+234 811 921 5333‬:
    SPAIN LA LIGA 2
    CULTURAL LEONESA - NUMANCIA .. AWAY WIN FULL TIME ♻♻♻
    [1/7, 16:23] ‪+234 811 921 5333‬: 3.10 ODDS
Neemaaa inaendeleaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…