Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu Deportivo nataka hiyo game niwape kona 8.5 ushauri ?
 
Wakuu naombeni matokeo ya Basketball game kati ya Honka (W) vs Foa (W)
 
Jamani wa kunidhamini 15000 asee basketball nimeingia vibaya nimebaki na 0 balance... Nisaidie sa mbili narudisha cc DeepPond na wazee wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…