Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
MKEKA WA MWISHOOOOOOOOOOOOOOOO TUONANE KESHO TENA HIYO WAZEE
Spurs v AFC Wimbledon
DOUBLE CHANCE AFC Wimbledon or Draw POINT 3.60
Cheza in play game ya barca.ok mkuu sasa nasubiri inplay kutoka kwako
Cheza in play game ya barca.
Under 12.5 corners .
Washapata goli za kutosha, hawatashambulia sn 2nd half
mkuu app hiyo inaitwajeaisee mm haka ka application kananiletea team ambazo zitashinda kila siku na zinafanikiwa japo mmegoma kunipa namba za premier bet pumbafu wamekula hela yangu.
Cheza in play game ya barca.
Under 12.5 corners .
Washapata goli za kutosha, hawatashambulia sn 2nd half
Weka over 10.5da kampuni yangu wameishia under11.5 tena point ni 1.09
vip naweza wapa under 10.5 naona wameipa 1.42
Wale wenzangu wa MKEKA No.1
Barcelona tushamalizana nae.
Tunatia tick
Arsenal ashapigwa cha 2
Timu ya pesa hyo.mkeka namba mbili nadhani hata apoel kamaliza japo ni HT
View attachment 670340