Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahah Arsenal ndo Mchawi wa leo kala 3 mpaka sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni ushahidi wa wazi kuwa direct win ni hatari sana kwa afya yako. What if game ya FOREST vs ARSENAL na ile ya jana kati ya SEVILLA vs BETIS mtu angecheza over 2.5

Bora sana kucheza option ya over, vinginevyo tutapata upungufu wa nguvu za kiume kila kukicha
 
Kweli bro!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wale wa In play

Twenzetu Spain ,

corner over 9.5
1.73 odd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…