Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
6.Naomba mnikumbushe Forest alikuwa na odd ngapi?
[emoji1] [emoji1] duuu hii option ngumu kumezaOption ngumu sana kila timu iweze kupata kona katika kona zote 4 za uwanja
Mkuu naomba msaada wa jina la hiyo live scoreMmmmm mbona sielewi!!
NINAWEZA KUKUTUKANA VIBAYA MKUU NGOJA NIKAUSHIEStress unazo wewe msalimie Arsenal
Mkuu naomba ufafanuzi wa option ya Miami ambayo umeitoa manake nimeifata na sielew maana yakeTimu ya pesa hyo.
Sinaga wasiwasi nae.
Bora tukumbilie NBA tu msaada hukuuuuuu tunaliwa hela.hivi huyu wenger hyo first 11 anataka akaicheze nafamilia yake?maana kombe la ligi limemshinda,UEFA hola,eroupe tia maji tiamaji na hka kakombe kambuzi kamemshinda.kasepa na mtaji wangu wote makusana huyu mzee.
Cc: buddy,koncho77 msaada kwny NBA jamani
Option ngumu sana kila timu iweze kupata kona katika kona zote 4 za uwanja
NINAWEZA KUKUTUKANA VIBAYA MKUU NGOJA NIKAUSHIE
Mkuu leo wachina basketball hukuwaotea?Angalia vzr huo mkeka wako km unapumua kwl Chief ... ushindi baada ya muda wa kawaida huwa hauhesabiki. Marseille ameshinda Extra time ... muda wa kawaida wametoka 0-0
Mkuu leo wachina basketball hukuwaotea?
Nimesubiria sana kupata tips zako leo lkn sikufanikiwa.
NBA vipi?
Mkuu leo wachina basketball hukuwaotea?
Nimesubiria sana kupata tips zako leo lkn sikufanikiwa.
NBA vipi?
Mkuu leo wachina basketball hukuwaotea?
Nimesubiria sana kupata tips zako leo lkn sikufanikiwa.
NBA vipi?