Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

du kwa uchezaji huu wa psg leo atafunga nyingi atunyime corner maana nimeanza kuona kama over 8.5 watashindwa
 
Madrid & PSG wameshatoa 3+ in less than 40mins ... sitaki kujua zilikuwa odds ngp kuwapa 3+ First Half.
 


Porto aspotoa over 1.5
Cjui. Ntamfanyaje mjinga huyo
 
Bosses, hii option inamaana kuwa ni kipi kitatokea ktk dk5 za mwanzo, au kila baada ya dk5 ndani ya mchezo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…