Yanga amevunja uaminifu
Naamini YANGA NDIYE ATAKAYE ANZA... WEWE JE
Dah,Every little helps..
Yanga amevunja uaminifu
Pole sn mkuuHuyu Hilal sijui kala maharage ya wapi, kanikosesha 210,000/=....dah ndiyo timu ya mwisho kwenye mkeka, inauma balaa
Kwan imekuaje mkuu?Yanga amevunja uaminifu
Usihofu,Mkuu hii game ya Crystal Palace kuipa kona under mbona mimi naona ni risk sana.
Nikiangalia game zao zilizopita wanaruhusu kona na wenyewe wawili wanatoa kona pia
Mm mwnyw friendlies huwa nazcheza namna hyo.Ha ha ha mkuu hawa desturi yangu ilikua kuwacheza Halftime over 1.5 kwa single bet
Over 0.5 goal mkuu, game ilikua 0-0 (dk ya 70) kabla ya kubetDah,
Hyo bet slip yako naona iko complicated mkuu.
Hebu sema ulchobet moja kwa moja.
Baadae kdg mkuuMkuu DeepPond basket Leo tunaendaje. Jana nlikufata nikala bana
Hongera sn mkuuAsanteeee Atromitos kwa 3+ Saaaaaafi
mkuu ivi futsal akoje?