Pole snMkuu princess walitegesha game kimitego sana, kwanza game zingine waliweka Total kuanzia 226-236 , zingine hawakuweka kabisa option ya total points wakaishia kuweka kitimu.
Huwezi amini nimepoteza mikeka miwili CBA, miwili KBA.
Leo basketball imenila balaa.
MUNGU mkubwa, nliwapa cap olmpiacosWashatikisa wavu huko na imani wataongeza mengine zaidi
Hamieni kwny volleyball na handball, pazur sn kuleHongera sana, mimi nimeambulia maumivu mno
Stake low/ medium mkuu.Mkuu kwa mara ya kwanza wacha nife na WIN
DHc slavia praha ni nchi gani?Hamieni kwny volleyball na handball, pazur sn kule
Ni michano ya UEFA Europe women.Hiyo DHC slavia vs DHK Banik ni nchi gani nani mchezo gani?
Hamieni kwny volleyball na handball, pazur sn kule
Kote mkuu, mechi za football nyng Leo hazjakaa poa sn.Nitaangalia upepo mkuu. Upepo wa muhindi unavuma pande zote nn..
Nchi gani hizo zote?MKEKA WA PESA No.3
Odds: 2.59
Stake: 24k
Marejesho: 61k
Mapambano yanaendelea
View attachment 672559
Mkuu kwa mara ya kwanza wacha nife na WIN
Mkuu DeepPond Naona 161.5 mbn 162.5 sioni huku kwa LTI Giessen 46ers v Phantoms BraunschweiMKEKA WA PESA No.3
Odds: 2.59
Stake: 24k
Marejesho: 61k
Mapambano yanaendelea
View attachment 672559
Mkuu pole. CBA game zote zilikuwa na Total Points. Sema Princess bet huwa wanaweka na kutoa options za Total Points saa zingine.
Mimi nilitega mkeka mmoja wa 3 games na nimemkalisha mkuu.
View attachment 672566View attachment 672567
Wacha tusubirie NBA sasa!
Huyo ni kwanza,Nchi gani hizo zote?
Michuano ya Europa handballDHc slavia praha ni nchi gani?
Angalia vzur utaionaNaona 161.5 mbn 162.5 sioni huku kwa LTI Giessen 46ers v Phantoms Braunschwei
Hyo ya PSG, naiona km haijatuliaView attachment 672574
Michango yenu ni muhimu kabla sija confirm malipo nan chenga apa tumuondoe!!!
Tumekumiss sn mkuuSafi sn ... naona mnaendeleza mashambulizi kwa Kanjibah Kumar ...
Safi sn ... naona mnaendeleza mashambulizi kwa Kanjibah Kumar ...
Mkuuu itakuwa jamaa wameitoa kwa hyo nikiweka hio 161.5 over ni mbayaAngalia vzur utaiona