Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi huwa nikikuta et over 2.5 huwa nashusha inakuwa over 1.5 maana ni bora upate kidogo kuliku kutaman kikubwa na ukashinda kwahiyo hao PSG nilivyo kuta kunamkeka wako mr.wise wa1st half 1.5 nkashusha aisee nkaweka ft over 1.5 sijui nayenyewe ka watatoa.
 
Daaaaaaaaaaaah Madrid kha!ovyooo si team A wala B, eti watoto wamesawazisha,
Kwa hayo matokeo yakienda hvo mpk halftime,

Naweza sema,
Mikeka ya tulio wengi haijachanika kabisa.

BALI, IMEFUMUKA, KUTATUKA NA KUPASUKA PASUKA KABISA.
 
Hata over 3.5 wanatoa.

Imani yako thabiti ndo inaweza sababsha unayotaka mkuu.

Kua na imani tu mkuu, ukzngatia mechi haijaisha bado
 
Hakika uvumilivu unahitajika sn kwenye hii biashara yetu ...

Wamebaki wao tu na vioddds vyao vya 1.22 (option ya over 2.5) na wanaelekea kuchana. Siku wape Under 4.5 sasa uone vihelehele vyao !





 
Hata over 3.5 wanatoa.

Imani yako thabiti ndo inaweza sababsha unayotaka mkuu.

Kua na imani tu mkuu, ukzngatia mechi haijaisha bado
Kweli mkuu nlikuwa nmeamin pia real madrid watatoa corner over 4.5 first haff na ikatokea kwel mkuu.Ni imani tu
 
Huyu conte sjui akili zake zkoje.

Timu inatafuta ushindi.

Afu yeye anamtoa hazard anamuingiza bakayoko.
 
Hakika uvumilivu unahitajika sn kwenye hii biashara yetu ...

Wamebaki wao tu na vioddds vyao vya 1.22 (option ya over 2.5) na wanaelekea kuchana. Siku wape Under 4.5 sasa uone vihelehele vyao !





Imani yako ni muhimu sn kubadili impossible kua possible.

Mechi haijaisha bado mkuu.

Kua na subira uku ukiamini 100% kua itatoka tu.

JUST RELAX, KUMBUKA HAUKO PEKE AKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…