Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BET WON
premierbet wamenikaribisha vizuri baada ya kuwakimbia kwa wiki 2 nzima
 
MKEKA No.2

Odds: 1.55

Stake: 200k
Marejesho: 310k

NB:
-Uyo wa kwanza ni football- friendlies
-Uyo wa pili ni hockey-norway
-uyo wa tatu ni basket-croatia

WEKA STAKE MLIMA

Mapambano yanaendelea
View attachment 673185
WALE WENZANGU MLOLALA NA KIPORO CHA MECHI YA RANGERS KWNY MKEKA No.2

habari njema ni kwamba,

*****BET WOOOOOOOOOON*****

Rangers keshaua MTU huko Brazil.

Hongera sana mlonifata ktk huu mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…