Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKEKA WA SUPU

Odds: 2.19

Stake: 50,000 Tsh
Marejesho: 109,500 Tsh

Mapambano yanaendelea
View attachment 673594
Update.....
Kule NBA tayar Full time,

HAWA jamaa wameshindwa kabisa kuvuka kigingi cha vikapu 214.5

Nna furaha kwa Mara nyingine tena, kusema kwamba.

*****BET WOOOOOOOON*****

Hongera pia kwa wote mlonifata ktk mkeka huu wa supu.
 
Mkuu ubarikiwe sana nmekufata nmepata mtaji wa kubetia,hakika ww sio wa mchezo mchezo
 
nlpokua mza nilikua na bet huku niliko hakuna zile machines. Na voda wanataka mechi moja per betting ambayo hailipi.mi napenda kutandaza mkeka
kaka kutandaza jamvi ni kutengeneza mazingira ya kupigwamukipata ni bahati sanaa, ila mabingwa wa kubet huwa hawazidishi game 3, ukitaka uhakika wa pesa kila siku weka pesa nyingi upate faida kidogo, ila 500 kwa 500,000 ni bahati bahati sana, ila 100,000 kwa 130,000 rahisi sana. betting inataka nidhamu na kuweka pembeni tamaa.
 
Well said broo...[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…