Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa stake weka hata nyumba ya mwenye nyumba return 99% confidence level

 
mkuu sijakusoma hiyo kitu, fafanua kidogo
Mbona ipo clear mkuu ama simu yako haifungui? mimi ni mzee wa MAKOROKOCHO yaani michezo isiyotiliwa maanani bongo, utanikuta kwenye basseball, hockey, N.K. Mimi soka kamwe nina allergy nayo. Hapo nimecheza VOLLEYBALL , na nimejaribu kuchambua timu ambazo zina uwezekano wa kumshinda mwezake seti 3 bila. Maana yake nimechagua timu moja dhaifu sana inayocheza na timu nyingine Imara sana. Lotote laweza kutokea, ijapokua kwa idadi ya timu nyingi nilizochagua nafasi ya kupoteza bado ni kubwa sana ,kwani hakuna timu inayoingia uwanjani ili kushindwa
 
nimekusoma mkuu, mimi huwa natambaa na basket na hocky, mpira pasua. ngoja nizichunguze volleyball zinavyoenda pia, ila mimi ni muumini wa kucheza game maxmum 3, mara nyingi nacheza 1 au 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…