Kote huko ndio anga zangu mkuu, ligi za urasi hockey ninapenda kucheza under 5.5, marekani, canada , na germany huwa napenda kucheza over 5.5 basket ndio nayo haitabiriki kucheza matimu mengi lakini timu moja moja waweza kupata kitu ambacho mimi huwa siwezi kufuraha BET won halafu output yake ni 20,000/=nimekusoma mkuu, mimi huwa natambaa na basket na hocky, mpira pasua. ngoja nizichunguze volleyball zinavyoenda pia, ila mimi ni muumini wa kucheza game maxmum 3, mara nyingi nacheza 1 au 2
PesahiiiiimkuuView attachment 673705 ushaur wenu ndugu zangu.. Nani hatatoa 1.5 over hapo
Leo ndugu zako Winning Gang wanasemaje?Usipende kukata tamaa mapema.
Poa Poa Kiongozi ...Pesahiiiiimkuu
Njema mkuuSlot No.1
NEC Nijmegen - Go Ahead Eagles
NEC Nijmegen
1.30
Bayer Leverkusen - Bayern Munich
X/2
1.27
Odds 1.65......habari za asubuhi wazeee
Cc; DeepPondDeep pond mchan vip hamn mkeka wa lunch
kama nimeyakanyaga ivi hawa jamaa kona hakuna dah mtaji wangu
Msaada DNB ndio nini ktk taaluma ya kubet?
Asante MkuuDRAW NO BET
YAAN TIMU ULIYOBETIA KAMA ITATOKA DRAW UNARUDISHIWA AMOUNT YAKO LAKIN IKIFUNGWA UMELIWA
Bet won mkuu kweli subira yavuta heribado moja mkuu vuta subira
Imeticbado moja mkuu vuta subira