kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 657
- 503
Bet won mkuu kweli subira yavuta heri
ni hatari kweli, china nimempa goli moja kabla ya mechi lakini amembwelaAYA SASA WATU WASHASTAKE NYUMBA NA MATOKEO N 1-0,
HAPO NDO UTAKAPOJUA HUU MCHEZO HAUFAI KUWEKA TAMAA MBELE
Mmmmmm iz 2.5 over naziogopa saiviValerenga IF v Strommen IF
Totals 2,5 - Over
Odds 1.3
Yeah bet wonUmetiki hyo, we mtata
Corner inayopesa sema ndio ivyooYap cha msingi n kuwa na subira na uvumilivu ,mkuu
Afu kidogo niwape magoli hawa jamaasasa n mwendo wa kutafuta game lingine la corner make magoli naona yamekuwa adimu sana,
MREJESHO......MKEKA WA VOCHA
wazee wa single bet, twende kazini.
Odd: 1.25
Stake: 100,000 Tsh
Marejesho: 125,000 Tsh
NB:
weka stake mlima zaidi for maximum output
Hii game inawz kutoa hata over 4.5
Mapambano yanaendelea
View attachment 673686
MKEKA WA PESA No.1
Odds: 2.04
Stake: 75,000 Tsh
Marejesho: 153,000 Tsh
NB: ;
Uyo wa kwanza ni football Holland
Uyo wa pili ni hockey Denmark
Uyo wa tatu ni basket Spain
Mapambano yanaendelea
View attachment 673877
Sina mechi ya finland kwny huo mkeka, soma tena vzur mkuumkuu hawa finland mbona hawaonekan au wameondolewa kwenye system nn
Sina mechi ya finland kwny huo mkeka, soma tena vzur mkuu