Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndio maana mda mwingine nabet vitim vdogo vikinichania cjuitii hawa chelsea nlijua magoli 3 mzigo nimeyapa mawili napo yameshindwa.......bull shit
 
Wazee wa inplay....
Mechi ya Chelsea.

Over 11.5 corner

Odds: 1.99

Mapambano yanaendelea


Chelsea kacheza hovyo sana, pamoja na red ya Leicester city lkn kashindwa kufanya cha maana

Hizi ndiyo game fixation zenyewe
 
Siipendagi madrid imeshanichania sana mikeka !!![emoji16][emoji16] hizi nyimbo ni bmuhmu kuzisikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…