Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha aren't these games fixed???
Chelsea
Madrid
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...no comment kwenye mechi ya Chelsea..kwa sababu sijaiangalia ila hii ya Madrid daah??magoli waliokosa...hapana asee....
Hii michezo ya kufix match inakera sana.
 
Yaan leo sijaigusa football zaid ya Real Madrid kutoa hizo kona nilizo zitaka za over 9.5 na tip ya bwana Deep pond na zote zime win machale yalinicheza aisee.
 

Fanya utafiti kabla ya kuandika hoja zako! Betting companies zipo zinazotoa huduma ya Cashout. E.g. Meridian, Mkekabet etc.

Hoja zako hazina mashiko mkuu, kajipange upya.
 
Exactly mi niliposikia uyo Sign kaongea nikawaza hii game tena ligi za Chini uingereza wana haka kamchezo. Si unamkumbuka yule jamaa aliyekula kababu
Ha ha ha...
Yule jamaa alikua ni noma sn aisee.

Hii michezo ya kufix match ni hatar sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…