Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NILIANDIKAAAA LEO NI SATD

STAKE WISELY

NISIKU AMBAZO MARAISI WA TIMU NAO HUBET KURUDISHA HELA ZAOOOO
 
Fixed matches zipo sana mfano TSN walimpa 2_1 hizi correct score sema unapata nyingi, Jana alikuwa Getafe 1_0
Hao TSN mara nyingi wanatumika aisee, game zao nyingi inaweza fika mpaka dk ya 90 bilabila ikifika dk ya 93 wanakumbuka majukumu unakuta 3-0 ya DW na Over 2.5 au 3-1 ya both team to score.

Mfano leo mpaka dk ya 78 ilikua 0-0,ilipofika ya 90 ikawa 2-1 (yaani ndani ya dk 12 yalifungwa magoli matatu kutengeneza score ya 2-1. Sasa kama ulicheza inplay ya under 2.5 unapigwa za uso
 


Kweli aisee halafu hawa nimewafuatilia mara kadhaa 3+ yao wanaitoa dk za majeruhi ... kuna namna hapa. Haiwezi ikawa coincidence hii.
 
BASIASI KOROKOROO

TURKU OV 2.5 [HASHTAG]#booooooooom[/HASHTAG]
 
TSN

WAZEE WA NYOTA TATU

OV 2.5. [HASHTAG]#boooooooooooom[/HASHTAG]


Basiasi kokoooroooooo
 
Kweli aisee halafu hawa nimewafuatilia mara kadhaa 3+ yao wanaitoa dk za majeruhi ... kuna namna hapa. Haiwezi ikawa coincidence hii.
Yeah hao ni kujichezea magoli tu tena kwa uangalifu sana
 
Basiasiiikokorooooo

Dortmund ii
Gg
[HASHTAG]#WOOOOOOOOOOOON[/HASHTAG]
 
Basiasi kokorooooo
Thun ov 2.5
[HASHTAG]#woooooooooooon[/HASHTAG]
 
Yeah hao ni kujichezea magoli tu tena kwa uangalifu sana
Haooohakunauangalifu mkuuu ukiwanamtajimwaga inaonekana wakubwa wanatengeneza daily hela na ov 2.5 yahawajamaaa usiwaache..kamaa umeoona Jana wakati naandika kokoro nkaweka timu tatu nkaandika tsn ov 2.5 wekamkenawatotoooo
 
Ha ha ha ha Mkuu mmeusoma huu uzi lakini?unahusu Kuwekeza, sasa kama unaotoa nusu ya mshahara wako kiasi cha 1M na kuwekeza ama kukitupa huku kwnini usiwe serious?ha ha ha ha


Hahahah ... aiseee nimeipenda hii. Ngoja na mm niandae spreadsheet maana wahenga wanasema "mali bila daftari hupotea bila habari"
 
BASIASI KOKOROOOO

RANGERS GG N OV 2.5

[HASHTAG]#wooooooon[/HASHTAG]
 
BASIASI kokorooooo

TSN OV 2.5

[HASHTAG]#woooooooooooooon[/HASHTAG]

Nilisema leoooo nsikuya gg na ov kazikwetuu
 
Hahahah ... aiseee nimeipenda hii. Ngoja na mm niandae spreadsheet maana wahenga wanasema "mali bila daftari hupotea bila habari"
Haswaaa hesabu muhimu sana wengi tunapotea hapo tu....kingine u serious unahitajika maana haiwezekani issues iwe inakuweka macho hadi usiku wa mida hii alafu eti usiwe serious nayo. Kila la kheri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…