Haswaaa hesabu muhimu sana wengi tunapotea hapo tu....kingine u serious unahitajika maana haiwezekani issues iwe inakuweka macho hadi usiku wa mida hii alafu eti usiwe serious nayo. Kila la kheri mkuu
Hesabu muhimu sn mkuu,Haswaaa hesabu muhimu sana wengi tunapotea hapo tu....kingine u serious unahitajika maana haiwezekani issues iwe inakuweka macho hadi usiku wa mida hii alafu eti usiwe serious nayo. Kila la kheri mkuu
Trust me Mkuu, kuna time fulani wakati nasoma masters niliwahi kwenda Wales kwa ajiii ya short course. Wadau wa mpira wa pale wanazungumzia sana ile ligi yao na hizo issue, Swansea City tu ndio hazungumziwi cjui sabab Premier League wako seriousKweli aisee halafu hawa nimewafuatilia mara kadhaa 3+ yao wanaitoa dk za majeruhi ... kuna namna hapa. Haiwezi ikawa coincidence hii.
Sure Mkuu....vipi NBA nacheki hii game ya Valencia uku navizia Odds za kikapu ukizitupia, mi kikapu sikifahamu kabisaaHesabu muhimu sn mkuu,
Hii biashara ni kama biashara ya duka tu.
Usipoithamini ile tsh.100 inayokuweka mjini.
Basi hutaithamini 10 mil utayopata kwny mikeka.
Ni idea nzur sn
Inakufanya unakua panctual zaid kwny business
Binafsi huwa nafanya kila baada ya siku 2 (SAA 48) ndo nafunga hesabu.
MALI BILA DAFTALI,HUPOTEA BILA HABARI.
Ishakua OVER 2.5Basiasikokoroooo
Valencia win n ov 1.5
[HASHTAG]#wooooooooon[/HASHTAG]
(Exp)
View attachment 675012 View attachment 675013
Mkuu leo kikapu vip?navizia Odds zenu na kausingiz kwa mbaaaaali
Nko najaribu kutafuta game za maana.Sure Mkuu....vipi NBA nacheki hii game ya Valencia uku navizia Odds za kikapu ukizitupia, mi kikapu sikifahamu kabisaa
Mkuu Stephen Curry anaweza kurudi Leo so nawekeza kwa GSW oversMkuu leo kikapu vip?navizia Odds zenu na kausingiz kwa mbaaaaali
Sawa Kiongoz.Nko najaribu kutafuta game za maana.
Tuwe wavumilivu kdg
Mkuu leo kikapu vip?navizia Odds zenu na kausingiz kwa mbaaaaali
no red card leo zimetoa sana kwa walio cheza timu mbili mbili au tatu,tatu leo matunda wameyaona.mie leiceter city kaondoka na 150K kwa kupata red card