Nzuri sana hii haswa kama unataka Odds 1.5 tu. Uzuri wa hii 85% to 95% ya mechi katika baadhi ya ligi umalizika bila red haswa eplDaah sijui kwa nini sijawahi ipenda hii option ... naiona iko risky sn. I would rather play "First Half GG - NO"
mkuu hii option nzuri sana kama huna tamaa ya odd kubwa yani kama unataka tu odd 1.5-ila ni risk sana kwenye timu za spainDaah sijui kwa nini sijawahi ipenda hii option ... naiona iko risky sn. I would rather play "First Half GG - NO"
na ujerumani napo sio sanaNzuri sana hii haswa kama unataka Odds 1.5 tu. Uzuri wa hii 85% to 95% ya mechi katika baadhi ya ligi umalizika bila red haswa epl
Hii Option Hata Mm Huwa Naipenda Na Hata Kesho Game Ya City Na Live Inatoa Vzr Tu.. Hispain Kuna Timu Hizo Kwa Red Card Hatar... Alafu Red Card Kutoka Ni Mara Chache Mnooo...mkuu hii option nzuri sana kama huna tamaa ya odd kubwa yani kama unataka tu odd 1.5-ila ni risk sana kwenye timu za spain
Mkuu Buddy vipi hapa Ova 2.5 nataka kutikisa walet. Ushauri na wadau wengine.
Okey poa poa,Game ngumu hizi ... kipindi cha kwanza zinaweza kwenda droo 0-0 au likapatikana goli moja.
So option nzr nafkiri ingekuwa ...
View attachment 675064
ama kujilipua kwa ...
View attachment 675065
Duuh Charlotte & Oklahoma kuna ushindani sn ... ngoja niwajaribu na Over 215.5 Inplay.
Confirmed,.MPE ushindi GSW uku unapga balimiMkuu Stephen Curry anaweza kurudi Leo so nawekeza kwa GSW overs
Nilitembea na vkapu 50 tu q ya 3 jamaa wamesepa na mzigoo.Duuh hawa jamaa Q3 wamemiss pts nyingi .... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr !
Pole sn mkuu,Duuh hawa jamaa Q3 wamemiss pts nyingi .... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr !
Tayr, Fanya fasta utie stakeWakuuu mmekuwa kimya kwa baskett
Nilitembea na vkapu 50 tu q ya 3 jamaa wamesepa na mzigoo.
Pole sn mkuu,
Mm nawasubir washington nkacheze 3rd quarter