Changamka uchape stake kwny uo mkeka,Asante mkuu ... hapa ni kuomba waende OT ndo itakuwa pona yngu, tofauti na hapo anasepa na nilichokipata kwa Valencia & LA Clippers...
Golden state worriorsGSW ndio timu gani?
Golden state WarriorsGSW ndio timu gani?
princess wahuni mechi kali huwa wanatoka liveWakuu siwapati inplay princess, je ni mimi tu?
Nshastukia.....princess wahuni mechi kali huwa wanatoka live
q3 unawapaje mzee
Over 56.5 inawafaa sn .q3 unawapaje mzee
BET WON! Afadhali nimepunguza machungu hapaTumalizie kumkusanyia kodi ndugu kanji kwa staili hii
Valencia win
Benfica win
Odds 4+
nimewapa hiyo afu nimeenda kulaa maan stake nmeweka ngombeOver 56.5 inawafaa sn .
kwa hali inavyoenda hii bet naona itakua winOver 56.5 inawafaa sn .
Ha ha ha ha hanimewapa hiyo afu nimeenda kulaa maan stake nmeweka ngombe
Mkuu uwe unatupia mikeka yako kuazia sasa najua ulikuwa unafanya utafiti ni ombi lakini .View attachment 675055 View attachment 675056 View attachment 675057 View attachment 675058 View attachment 675059 View attachment 675060 View attachment 675061 View attachment 675062 View attachment 675063 View attachment 675055 View attachment 675056 View attachment 675059 View attachment 675062 View attachment 675063 View attachment 675061 View attachment 675060 Wakuuu ni bora ktk match nyingi ucheze na handicap 0:2 kwa timu kubwa ikiwa ugenini au 0:1 kwa timu kubwa ikiwa nyumbani kwani inasaidia sana japo odds kdg lakini ukichukua timu 12 ni 2.5 odds zinakutoa kbsa mm hii nimetembea nayo kwa muda mrefu sana na inanisaidia bora uweke fungu la kutosha aisee msidharau hii ni biashra lzma uwe caution katika kutake risk
mkuu uko sawa unaweza kuona mkeka huu wenye odds 1000 umeharibiwa na timu mbili moja ikitoka sare nyingine ikifungwa kwa tofauti ya goli mojaView attachment 675055 View attachment 675056 View attachment 675057 View attachment 675058 View attachment 675059 View attachment 675060 View attachment 675061 View attachment 675062 View attachment 675063 View attachment 675055 View attachment 675056 View attachment 675059 View attachment 675062 View attachment 675063 View attachment 675061 View attachment 675060 Wakuuu ni bora ktk match nyingi ucheze na handicap 0:2 kwa timu kubwa ikiwa ugenini au 0:1 kwa timu kubwa ikiwa nyumbani kwani inasaidia sana japo odds kdg lakini ukichukua timu 12 ni 2.5 odds zinakutoa kbsa mm hii nimetembea nayo kwa muda mrefu sana na inanisaidia bora uweke fungu la kutosha aisee msidharau hii ni biashra lzma uwe caution katika kutake risk