Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umekosea njia mkuu
 
Hiyo siasa ni kitu inaliwa?
 
Mkuu kwny kuweka hela Premier, kumbukumbu namba unaweka nn?
Wana hatua hadi uingie Website yao, UtaBofya sehemu imeandikwa Deposite. Then unachagua Mtandao gani,

Kutoka pale utafata maelezo, Mwisho wa siku kuna namba katika hatua ya Tatu inaitwa REFERENCE NUMBER(Hii ndo utaitumia kama Kumbukumbu namba.

Namba ya kampuni ni 500700.
 
Acha mamb yak hay watu wako kazini unaleta utani na drama zako bhna
 
embu nipe uzoefu wako mkuu maana nataka kurudi odd ndogo kama zamani ambazo nilionaga napoteza time tu. mana kwa sasa natafta odd 5+ nazenyewe zishakuwa tait sana japo hapo katikati zilikuwa naenda nazo sawa.

odd za 1.70 - 3 kwa kila slip kwa slip 5 kwa siku. nilikuwa nachezaga hivo lakini nikawa najikuta mtaji tu ndo kila siku unazunguka yani mtaji wangu laki lkin leo napata 120 kesho 90 sikunyingine 80 mara 70 mara 130, 110
 
Ukiambiwaaaa jmosi sikuya ov huamini

Mzigoooomapemaaa aukuniacha yatima mfukonii
Ulikuwahapàa
 
Hii ni kwamba Canberra walikua form kwa kutawala game kwa asilimia 100 mpaka Wanderers kuitawala game kwa asilimia 0?
 
Deep pond Mungi akubariki sana kwa wema wako aisee.
 
Mpwaaahukupesaa banaasiasa kaanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…