Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

umeona hiz mech zilivyo ena 3+ haya siku nyingine zichezwe uweke over 2.5 ndio utakapo jua kuwa kuku nayeye huwa anatumia kondom? Hahahaaaa just for fun only.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Mkuu naomba ushare hizo rules, nataka nifuate nyayo zako na za DeepPond
 
Nimekwambia vizuri kama kidume mwenzangu sasa ukisema unanitunzia unamanisha nini?
Arsenal mwenyewe Leo anatoka kona zaidi ya hizo unazosema.... Ushauri ni bure ukitaka ufate au uache sio kuingiza na vitu visivo make sense.
Usipanic brother nimekuelewa,but mtu anapoleta tips ni vema kumkosoa kwa kuweka hoja or alternative kma uliyosema hapo juu ila sio kumwambia atunze pesa wakati tunatafuta pesa,by the nimeshatupia na ukichanika ni sehemu ya mchezo pia
 
Safi sana,mpaka sasa umefanikiwa vp na changamoto zipoje?
Changamoto ndio kama za jana slot zote kufa so siku kama ya jana inakua kama haukucheza na umepoteza pesa. Faida zipo tarehe 29 December niliamua ku withdraw ili nianze mzunguko upya hii january. Mpaka na withdraw nilikua na sh 3,788,612/=
So kikubwa kuishinda tamaa tu.
 
Good advice,.

Hebu na mm niongezee kdg hapo,


Tamaa ni adui mkubwa sn wa hii kazi.

Pata faida kidg kidg huku ukiwa na mzunguko mkubwa.

Hiyo ndo principle kuu ya biashara yoyote zenye mafanikio duniani.

Ni muhimu sn kuziheshimu na kuzifuata kwa umakin wa hali ya juu sheria&taratibu ulzojiwekea ktk betting.

Mwisho ,
BETTING ITS REAL BUSINESS.

SUCESS IN THIS BUSINESS, ITS ONLY FOR SERIOUS INVESTORS.
 
Daaaaah ume tokea wap joh!!
Kishmundu

Kisiju ama

Kusiko julikana???
 
So ndani ya miezi hiyo michache ukapata faida kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…