Mkuu kama huna kijiuoga mpe Liver direct WIN singlebet ana Odds 3.03, ukiogopa mpe double chance mchanganye na wajerumani wape wote Over1.5
Yani wachambuzi wengi wana leo Man City anapotezaDuuh Liverpool bila Coutinho wataweza kufurukuta kwa Man City kwel? ..
Hayo ndo matumizi mazuri ya maarifa,View attachment 675256
Na huu ndio mfano wa namna team navyozipangilia ktk hizo slots Cc troublemaker
Yani wachambuzi wengi wana leo Man City anapoteza
1. Hajawahi shinda hapo anfield muda mrefu
2. Walipata muda mwingi wa kupumzika kumzidi City, City amecheza mechi nyingi mno
3. Work rate itakua kubwa ku prove kua bila Coutinho wana uwezo
Uwezi amini leo hadi Paul Merson "Magician" amewapa LFC ushindi
View attachment 675328
Onyo : Usicheze kama stake yako ina matumizi mengineyo muhimu
Rules hizo unaweza kushare nasi mkuu kama hautoona shida tupate elimu maana hii ni biashara kama biashara zingine ninaimani zitatusaidia.Nilianzaga na mil1 nikatengeneza slots 10 za team mbili mbili tu zenye odds zisizozidi 1.5 na hizo slots hazitakiwi kuzidi match mbili. Nikawa nacheza option hizi (Handicap ya goli 2, 12 na 10mins draw hapa kuna muda slots mechi mbili zinaleta mpaka Odds 1.4 which is below 1.5) ktk kilo slots nilikua naweka 100K. Siku ya kwanza Slots zote zilizaa iyo ilikua mwaka jana mwezi wa 8. Nikachukua zao la kila slot nikalicheza tena hapa slots 9 zikazaa moja ikapotea. Ila kila wakati slots inapopotea uwa natafuta namna ya kui recover either kwa kuweka kijikokolo cha kimakini ili kufidia na katika kila mzao kama kuna faida zaidi ya nilicho expect huwa iko kiasi nakiundia slot pia (Faida inayokuja bila ku expect utokea iwapo slot nilizoweka zimezid Odd 1.5 hii inamaana kama ningeweka laki hapo nita expect 150,000/ lakini kuna muda unakuta slot inaleta Odds 1.8 inamana hapa italeta 180,000 hapo ina maana 30 niyo faida nayoisema siku i expect.
All kikubwa kuna rules zangu nilizojiwekea na huwa nafata hizo
U can't be seriousArsenal
Liverpool
Barcelona
PSG
Wote wape under 3.5
90%✓
Hii kwenye simu inawezekana au ndo mpaka pcView attachment 675256
Na huu ndio mfano wa namna team navyozipangilia ktk hizo slots Cc troublemaker
It's possible mkuuU can't be serious
Subiri uoneDuuh Liverpool bila Coutinho wataweza kufurukuta kwa Man City kwel? ..
Deeppond VP mkeka Wa Leo mkuuU can't be serious
Mbarikiwe kwa madini mnayotupatia humu kwenye jukwaa.Good advice,.
Hebu na mm niongezee kdg hapo,
Tamaa ni adui mkubwa sn wa hii kazi.
Pata faida kidg kidg huku ukiwa na mzunguko mkubwa.
Hiyo ndo principle kuu ya biashara yoyote zenye mafanikio duniani.
Ni muhimu sn kuziheshimu na kuzifuata kwa umakin wa hali ya juu sheria&taratibu ulzojiwekea ktk betting.
Mwisho ,
BETTING ITS REAL BUSINESS.
SUCESS IN THIS BUSINESS, ITS ONLY FOR SERIOUS INVESTORS.
Yaani tena mumkimbie kabisa Arsenal, maana hata mhindi kajistukia amempunguzia Bournemouth Odds alimpa 4+ sasa hivi kashusha mpaka 3.9 na amemuongezea Arsenal kutoka 1.8 mpaka 1.85.Kama flashscore wanavosema ndo itakuwa kweli basi leo Arsenal ni ya kuwa makini nayo sana
Me naiplay ||1-2 na mix na liver 0-27
Mi huwa natumia PC mkuuHii kwenye simu inawezekana au ndo mpaka pc
Ha ha ha ha ha kweli now 4-3 = 7+ [emoji28] [emoji119]
TayariNaona Lech Poznan (Pol)
wanatoa 7+ kama alivyo sema mwana dah!