PAOK[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]
Mkuu vp liverpool vs man city nkowapa kona 8,5 over?Arsenal hali mbaya uko....
Keshapgwa chuma 2
Mkuu vp liverpool vs man city nkowapa kona 8,5 over?
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ni hivyo mpunga wangu usijeling ukasepaling.Wanaweza kushindwa Mkuu
Nmewaza sn hilo mkuu,
Japokua ni mapema sn kumwita tapeli.
Akil yang inanambia,
Kuna mwekezaji ktk hz match fix.
Huyu anazinunua mechi kwa gharama.
Tena ukichungza ni mechi kutokana kwny ligi na timu zile hoi hoi kiuchumi.
MF: lech,matrezberg,etc
Baada ya kuzinunua,
Anachokifanya ni kutengeneza kwnz soko.
Hapa huwa na mawakala.
Hawa ndo hupenya kwny masoko na kuwafkia wateja.
Ili kuweza kuwin soko lake
Hapa huanza kuliteka soko kidg kidg kwa kutumia market penetration strategy.
Hii anaifanya kwa kujenga kwnz public trust kwny tips anazotoa.
Mf:
kwa kutoa ofa ya free winning tips kama alzotoa juz na Leo.
SOKO LIKISHAKAA SAWA, NA MTAJI NA FAIDA YAKE VIKARUDI.
NEXT,
TIPS ZINAZOFATA HAPO ZNAKUA NI MAGHUMASHI TU.
Usijiulize mara 2 mkuu hizo kona zinatoka vizuri sanaMkuu vp liverpool vs man city nkowapa kona 8,5 over?
45' Cadiz 1:0 Cordoba
Ndio utamu wake huo na ili inoge itoke first halfNilimpa Win Either Half ... naona ameshatoa. Ndio raha ya hii option ... kitakachotokea kipindi cha pili hakinihusu
[emoji12] [emoji12]
Stake home win maxbet45' Cadiz 1:0 Cordoba
Hahahaha mkuu umeona eee Mimi nimejifanya kuwapa under 4.5 na under 3.5 kuna kimoja kinaniharibia utafikiri alikuja kichwani kwangu kunirubuniumeona hiz mech zilivyo ena 3+ haya siku nyingine zichezwe uweke over 2.5 ndio utakapo jua kuwa kuku nayeye huwa anatumia kondom? Hahahaaaa just for fun only.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
1/1 wekambuziii ntalipaNilimpa Win Either Half ... naona ameshatoa. Ndio raha ya hii option ... kitakachotokea kipindi cha pili hakinihusu
[emoji12] [emoji12]
Mie niliweka washinde, nna timu zangu hua nnawekeza kwa kufumba macho.Acha presha mkuu,
Hyo option nloweka hapo.
Inayatambua matokeo ya full time pekee.
And not Extra Time.
Labda km mkuu uliingiwa na tamaa ya big odds, ukaichakachua option nloweka hapo kwny mkeka.
****BET WON*****
View attachment 675262