Mkuuu muhindi si wa kumwacha bila ya pesa kuna huyu zlin naona ametuaa sasa hapa ni kummaliza na mwingine matataPrincess wameiondoa.
Hiyo game nmeiona ilkuepo asbuh
Mi nimeiwahi ngoja nionePrincess wameiondoa.
Hiyo game nmeiona ilkuepo asbuh
Jamaa sijui anampatajeMkuu jamaa yupo fb bado mbona ktk search hapatikani?
Nimeona hiyo post. Amepost 4 hrs backJamaa sijui anampataje
Mara paap hii katumiwa kuwaingiza watu chakaPrincess wameiondoa.
Hiyo game nmeiona ilkuepo asbuh
Hapo nkuweka stake ndogo au hata ukikosa poaMara paap hii katumiwa kuwaingiza watu chaka
Meridian ina 11.5walishusha odds wameweka nane tu
Ndicho nilicho kifanya mm huenda tukaingizwa chaka alafu yeye akalala mitini tusiwe na tamaa tu.Hapo nkuweka stake ndogo au hata ukikosa poa
Yah mkuu mi nafanya kama kujaribu hivi si unajua hii bahati nasibuNdicho nilicho kifanya mm huenda tukaingizwa chaka alafu yeye akalala mitini tusiwe na tamaa tu.
97% and loading [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]View attachment 675527maombi yenu bado PSG
Olympique Lyon - SCO Angers
1/X
1.12
Bournemouth - Arsenal FC
Bournemouth (Handicap 2-0)
1.41
Total Odds 1.58
Slot No. 2
Liverpool FC - Manchester City
Liverpool FC (Handicap 2-0)
1.26
Olympique Lyon - SCO Angers
Over 1.5 goals
1.21
Total Odds 1.52
Ndicho nilicho kifanya mm huenda tukaingizwa chaka alafu yeye akalala mitini tusiwe na tamaa tu.
Nushachapa stake za kutosha.Ipo live mkuu