Umeshtukia dili et? Ila kama sio kweli leo watu watapigwa mpunga vibaya mno kwani wataingia mazima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni mnigeria kuweni makini nae huwa wanatapeli sana! Wengi ni either agents wa betting companies au anauza tu tips so be careful wale wazoefu Twitter wapo kibao! Na wanajua ku edt results.
Mi naenda na mikeka ya deepond fresh[emoji3]
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Itakua hatar sana....Mara paap hii katumiwa kuwaingiza watu chaka
HahahaaaaaNushachapa stake za kutosha.
Hebu ngoja tuskilizie mgodi wa fixed match
Hyo option ya cty inamaana gan mkuuView attachment 675527maombi yenu bado PSG
Asante mkuu niliifata hiiSlot 1 BET WON
Mkuu kweli umeamua kuji sacrificeNushachapa stake za kutosha.
Hebu ngoja tuskilizie mgodi wa fixed match
Hii kitu haihitaj tamaa.Umeshtukia dili et? Ila kama sio kweli leo watu watapigwa mpunga vibaya mno kwani wataingia mazima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii weekend football imeota mbawa.Haya wale wa BvB Dortmund ... hana cha 2+ wala 3+ mpk dk hii 81’ 0-0
Huyu mm leo nlimkwepa kbs.
Huyo na Lyon mungu awalaanHaya wale wa BvB Dortmund ... hana cha 2+ wala 3+ mpk dk hii 81’ 0-0
Huyu mm leo nlimkwepa kbs.
Real sociedad vs Barca
2&0-2. Odds 5
All The best
Hii weekend football imeota mbawa.
Kuna matokeo ya ajabu ajabu sn
Barca hajawah kumfunga Real akiwa anohet since 2007 nahisi leo kama akishnda Tashinda kwa goli chache nimeicheza but kwa uangalia stake iliyowekwa ni ya kawaidaMmh ... hii game iwe na goli chache hivo? sidhani ...
Huyo na Lyon mungu awalaan
Wamekataa na 3+ yan ngekua namsubr tu
Psg ***** wajinga sana hao
Aiseee mi hii mitim mikubwamikubwa naiogopa kinoma saiv sio mchongo mara zisepe 20k mara 30k mara 15k sijakaa sawa 15k *****.Barca hajawah kumfunga Real akiwa anohet since 2007 nahisi leo kama akishnda Tashinda kwa goli chache nimeicheza but kwa uangalia stake iliyowekwa ni ya kawaida
Tulale tu machungu kesho nayoLyon kasepa na 40K yangu [emoji1324]♂️
Mkuu jamaa yupo fb bado mbona ktk search hapatikani?
Ndo tatzo kama leo Dortmond 2+ alikuwa na Odd's chache mno mwshowe akachomeshaAiseee mi hii mitim mikubwamikubwa naiogopa kinoma saiv sio mchongo mara zisepe 20k mara 30k mara 15k sijakaa sawa 15k *****.