Dah! Nlkuw nimeshaanza kuipigia mahesabu hyo pesa nilikuw nmepanga ninunue pamba kali niwe kama akina jux na diamond platnumz hahahahaaaHa ha ha....
Sio mchezo aisee
Ililipiwa 8000,mzee hiyo nilimtumia mdau kwa ushaur kabla sijalipia akaleta pingamiz nikaona niwek 8000kwa nini hukulipia?
Hahahaaa mm mwenyew nshachanganyikiwa bhnaHa ha ha......
Imenibidi tu nicheke kwa jinsi gani stake yangu inavoungua huko
View attachment 675586
Siku ya kufa nyani miti ya king hutereza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
*****!!!, yaani NBA saa nyingine kama mashindano ya UMISSETA. Dkk ya 3 vikapu vitatu tu
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] achaneni na huyo tapeli mtapoteza hela zenu bure!Ni mnigeria kuweni makini nae huwa wanatapeli sana! Wengi ni either agents wa betting companies au anauza tu tips so be careful wale wazoefu Twitter wapo kibao! Na wanajua ku edt results.
Mi naenda na mikeka ya deepond fresh[emoji3]
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Sio Kila siku ni Jumamosi mkuuKwa taarifa tu Barcelona hajawashinda pale Sn Memes miaka tisa...hata Moyes na ubovu wake wote Barca alikaa...Direct Win pale jiandae kisaikolojia kabisa
Zote tearii mkuuKwa john sing correct score imeshabuma.
Naisubiri zifuatazo
Total goals- 4
Over 3.5
Away to score a goal
Both team to score
NNA IMAN ZILIZOBAKI ZITATOKA.
King kanifanya nikope 30k Alafu mshkaj kwa dharau nkamuahidi nitamlipa 50k [emoji23][emoji22][emoji22]
Unaweza ukawa unacheka utadhani mazur kumbe ndio ulishaliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahah saiv tumbo lazma ni la moto hao scammers ******* tu nlivosikia et anasema apewe euro 25 hapo ndio nkaona jamaa nae kanjanja tu
Wiki hii sio nzuri kwa OVER huku kwenye vikapu.Siku ya kufa nyani miti ya king hutereza [emoji23] [emoji23] [emoji23]