Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mpwa, habar za jion.

Aisee, samahani sana kwa kutamka haya.

Ila honestly,
akili yangu inanambia bw.john sing ni muhuni flan HV kaingiza watu mitini
Sioooweweee tu mimii nishashtukaaa uhuni anaoofanyaa mpwaaa..Mungu anamwonaa...naona anajitengenezea Leo acc Mara hacked loh
 
Ha ha ha...
Hakosi visingzio
Ndio watu wawe makini, Kuna time zingine game inakua sio fixed ila mtu amepatia tu au ana zari la kuotea correct score sasa anatokea muhuni anakua anaokota kwake na kuwauzia watu ivyo inatokea kuna muda mnapata kuna muda mnakosa
 

Mfano ni uyu jamaa Paul Merson aka Magician uwa anaziotea sana Correct Score lakini hasemagi kama ana fixed match, hata ya leo ya Arsenal aliiotea hii si umeona hapo. Sasa ka mtu kakimjua kanakua kanaokota kwake kanauzia watu kakisema fixed sa kuna time naye uwa anakosa so akikosa katasema kamekua hacked
 
Mpwaaaa nimeionaaa mchanaa ajamaaa mshenzi yukonjema inasikitisha watuwanapata buree wanaenda magrp yao wana fixd
 
Hawa princess bet inplay yao siku hizi imekua ya kihuni sana...wakiona unaplace bet inayokaribiana na ukweli server error zinakua kibao ila wakiona unaingia choo cha kike mzigo unasubmit fasta maamae wamenikisesha pesa nzuri sana kwenye game ya Miami heat waliwapa kama odds 3 wakati Milwaukee wakiwa wanaongoza nimejaribu kuplace bet kama mara 20 hv nikiwapa heat server error ila nilipojaribu kuweka under 174.5 mzigo fasta umeenda maramaaake kanjibai,Game ya Barca hivyohivyo kila nikitaka kuwapa win inagoma hatimae wakaiondoa inplay
 
Ndio watu wawe makini, Kuna time zingine game inakua sio fixed ila mtu amepatia tu au ana zari la kuotea correct score sasa anatokea muhuni anakua anaokota kwake na kuwauzia watu ivyo inatokea kuna muda mnapata kuna muda mnakosa
Ndo maana kuna mdau humu alitahadharisha kua ni vema watu waende kwa tahadhari.

Kuliko ile kujilipua mzima mzima
 
Real sociedad vs Barca
2&0-2. Odds 5
All The best


Ningeshangaa sn hii game kuisha bila kuwa na magoli mengi ... maana wote sio defensive teams ... ni wazee wa kufunguka.

Nadra sn kuona Real Sociadad hajatoa 2+, Barcelona likewise.
 
Mpwaaaa nimeionaaa mchanaa ajamaaa mshenzi yukonjema inasikitisha watuwanapata buree wanaenda magrp yao wana fixd
Yeah mpwa jamaa yuko vzuri, sema yeye huwa anatabiri EPL tu...na leo City na Arsenal zote aliziua ni mzuri kumfata kwa ushindi ila sio Correct score, though sometimes huwa anakosa sana tu
 
Ningeshangaa sn hii game kuisha bila kuwa na magoli mengi ... maana wote sio defensive teams ... ni wazee wa kufunguka.

Nadra sn kuona Real Sociadad hajatoa 2+, Barcelona likewise.
Sure brother wameondoka na kaki yangu saaafi[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…