NauletaWakulalia vp?
Sawa MkuuNauleta
Ubarikiwe mkuuuNauleta
We haukuingia kwa mchiz King?Asante sn PSG ...
Hasara aliyosababisha Lyon imerudi na faida yake juu.
Pia kitu kingeweza kuitika na ukapiga pesa ndefu na siku nyingine ungeweza kuweka hata mara 100 ya hiyo pesa kwa sababu ungekua umejenga imani, shukuru kwa yote!Dah! Nlkuw nimeshaanza kuipigia mahesabu hyo pesa nilikuw nmepanga ninunue pamba kali niwe kama akina jux na diamond platnumz hahahahaaa
Just joke [emoji23] [emoji23] [emoji23] ***** king kaenda na 30k yangu.
Pole sana chief, ndo pale tunarudi kwenye sheria ya hii biashara kua acha tamaa na kubali kupoteza ulicho teyari kukipotezaKing kanifanya nikope 30k Alafu mshkaj kwa dharau nkamuahidi nitamlipa 50k [emoji23][emoji22][emoji22]
Kweli mkuuPole sana chief, ndo pale tunarudi kwenye sheria ya hii biashara kua acha tamaa na kubali kupoteza ulicho teyari kukipoteza
1xbet wana option za kuchagua, princess wako na limitWiki hii sio nzuri kwa OVER huku kwenye vikapu.
King kanifanya nikope 30k Alafu mshkaj kwa dharau nkamuahidi nitamlipa 50k [emoji23][emoji22][emoji22]
We haukuingia kwa mchiz King?
Hilo nalo neno,Hapana mkuu ... kutabiri correct score ni ngumu sn hata wakisema ni fixed match ... it's almost impossible.
Toa mfano1xbet wana option za kuchagua, princess wako na limit
Nshakumwagia vitu hapo.Kweli mkuu
Hongera sn.Asante sn PSG ...
Hasara aliyosababisha Lyon imerudi na faida yake juu.
Tuko pamojaUbarikiwe mkuuu
Tuna tatizo la watu kutojiamini kwa mfano kwa tipster wanazo toa forebet hata wewe kama una web yako na una fanya utafiti wa maana unaweza ukawa na green nyingi kuliko wao, bora ya humu tunakutana wote wenye maslahi yanayo fananaTuna tatizo kubwa sana la kupenda "mteremko". Kuna tipsters wengi ktk sports nao pia hawana uhakika wa 100%, John Sing anakwambka 100%, dah. Kweli akili za kuambiwa always changanya na zako.
Hilo ni kweli ilwahi nitokea Mara 2 baadae ikaja kuonekana.Nimeweka mikeka miwili kwenye bet history sioni je wale watalaam wa princess bet hii ni normal na pesa nimekatwa sasa huyu mhusika aniambia bet yangu ipo wanarekebisha mitambo tu