Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
BET WON, Hakika Mungu ni mwemaWakuu kule kwenye international championship ya under 23 kati ya China na Qatar matokeo ni 1-1 half time now na China ameshakula umeme kaiuchungulieni kama mtaona inafaa mpeni Qatar ana odd ya 2+
Safi sana brother, tuendelee kupambana na kupeana taarifa maana hii vita ni yetuNice brother [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Kweli mkuuSana mkuu ... hili jukwaa safi sn !
Kwa mfano kwenye inplay princess wanakupa option moja tu ya kuchagua na muda mwingine wanakua wameifunga na haujui kama wameifunga mpaka ui stake ndo unaujua kua wameifunga ila 1xbet kama option imefungwa unaona kufuli kwenye option (huu mfano unalenga hasa kwenye basketball)Toa mfano
Watu wamemshitukia king huko tayari.
MKEKA WA LUNCH UMENIPITA IMENIUMA SANA..MAANA KILA NIKIPLACE BET INANIAMBIA 1 MARKET INACTIVE DUUH....MPAKA SAA 7 KAMILI IMEFIKA [emoji22]
Cc; DeepPond
Ngoja nifanye ivyo...aiseeIfuate InPlay km ipo mkuu ... tena huko unaweza kushangaa unakutana na odds kubwa kidogo ya ile ya awali.
Haipo playstore itafute kwenye google au ingia kwenye web yao utaona sehemu ya kupakua app yaoInapatkana wapi.
Playstore au wp?
Nimeifuata over 124.5 odds 1.83 ngoja tuone kama itawapendeza kutupa hizo pesaYes na wameiweka (Princessbet) ... na odds ni km unavyoziona hapa ....
Wakati DeepPond anauweka ulikuwa na odds 1.48 (kwa over 127.5) ... lkn sasa odds ni 1.88
View attachment 676107
Nimeifuata over 124.5 odds 1.83 ngoja tuone kama itawapendeza kutupa hizo pesa
Nadhani ni soko zima la betting waliitoa hiyo option maana hata 1xbet sikuikuta niliikuta hii hapaWatakua wamestukia kua watalizwa.
Usishangae na wao wamo humu humu kwny Uzi wanaupitia
hapo unawekaje chief?Safi mkuu ... mm nasubiri hii game ya Tennis huyu anayeongoza akishinda hii set ndo niwekeze hapo kwny kikapu. InPlay ina raha yake flan hivi ...
View attachment 676110
Ngoja nikamchungulie ikinipendeza nitakufuata mkuu