Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo niko active hapa jukwaani ungetustua wazee wa fursa tujitoseee ... ningetia 10K hapo. Huku nakunywa K-Vant yangu mdogo mdogo ...
Dah! Simnaona wenyewe nilitia 500 tu inamaana nilikuwa sina uhakika maana Mereton bay ilkuwa inapiga magori ya faster faster yalivyo wafunga tu na mm ndipo nikajitosa lakuwa na liwe bila uhakika.
 
Dah! Simnaona wenyewe nilitia 500 tu inamaana nilikuwa sina uhakika maana Mereton bay ilkuwa inapiga magori ya faster faster yalivyo wafunga tu na mm ndipo nikajitosa lakuwa na liwe bila uhakika.


Safi sn Chief ... umeshapata ya lunch !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…