Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli nimeangalia game za lamia goal nyingi kufungwa ni 4, hata PAOK alimpiga nne. Nilikuwa nafikiria kuweka HT over 0.5 nikavutiwa na hizo odds za under 4.5


Sawa Chief ... all the best mkuu ! kwa kuwa muda wa game bado sn, nitakujoin kwa baadhi ya games hapo ... hasa kwa Oss, Maccabi na Porto
 
Daaa watu mnapiga mipesa tu safi kabisaaa hyu jamaa DeepPond ni zaidi huyo King wao aisee tisha mbaya sana
 
Waheshimiwa ivi Premier wakichelewa kufanya withdraw tunawakumbushaje, maana nashangaa kuweka wanaweka fasta, ila kutoa sasa, ndo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…