Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Slot No.1

GD Estoril Praia - FC Porto
FC Porto
1.25

Betis Sevilla - CD Leganes
1/X
1.26
 
Princess wamekamata pesa yangu tangu niweke mpaka sasa haijasoma
 
Slot No.1

GD Estoril Praia - FC Porto
FC Porto
1.25

Betis Sevilla - CD Leganes
1/X
1.26
 
Slot No.1

GD Estoril Praia - FC Porto
FC Porto
1.25

Betis Sevilla - CD Leganes
1/X
1.26
 
Slot No.1

GD Estoril Praia - FC Porto
FC Porto
1.25

Betis Sevilla - CD Leganes
1/X
1.26
 
Aisee match wanafix, kama nilikuwa nacheck game ya Levante na Celta Vigo.... Levante kapiga mashuti zaid ya 15 na amekosa chances za wazi kabisa mtu na goli kama 7. Kama hii game haikufixiwa ni nini?
Walifix levante 1 celta 2
 
Mkuu samahani,naomba unieleweshe hapo unapotaka kuplace bet inaleta mfumo wa bet huwa sielewi,sijui mfumo1,2,3


Mkuu kwa kweli na mm huwa sizielewi ...mi huwa nachagua hiyo ya single bet ... nafikiri nyngne ni km unataka stake unayoweka iwe kwa kila bet.
 
Kudeposit pesa na imechukuliwa
mkuu yawezekana muamala hujaukamilisha, kamilisha kwanza muamala pesa yako itaonekana kwenye account yako. hata Mimi mwanzoni ilikuwa inanipa shida. tumia m.pesa kwa usalama na uhalisi zaidi
 
Mkuu kwa kweli na mm huwa sizielewi ...mi huwa nachagua hiyo ya single bet ... nafikiri nyngne ni km unataka stake unayoweka iwe kwa kila bet.
Yaan me hyo huwa sibet kwa princess coz ya kushindwa kuelewa hilo jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…