Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijutiii kuwa member huku. Hivi ukiamka siku ukasikia jf imegungiwa utafanyaje?. Lets have plan b
itabidi uongoz uache ki memo kuwa tukutane wapi vinginevyo hali itakua tete.

kipindi kile mtandao huu umeshambuliwa watu tulipata wakati mgumu sana
 
Stoke city win&Both team to score
total odd 22
fixed match from igwengerekongromaingingire village
usiku mwema!
 
Mbona goli zimefutwa! Flashscore ilikuwa inasoma 2 goals. Kipi tatizo.
Hata mimi asee, Flashscore niliona Magoli mawili.Nikawa nafurahia, sasa baada ya muda nakuta yamefutwa.Nikacheki livescorw nyingine nikakuta 0-0.

Flashscore sijui walifanyaje! Alafu sio mara ya kwanza kuona hivi Flashscore!
 
Mkuu pesa imeenda na meseji imerudi kwamba nimefanya muamala online zaidi ya masaa 2 haisomi wameanza kama Meridian sijui?
mkuu baada ya hiyo SMS ya uthibitisho, kuna process nyingine inaendelea hapo unakuwa bado hujamaliza
 
15TH JANUARY 2018
*PICK RANDOMLY TO GET YOUR SAFE ODDS*
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
*ENGLAND - PREMIER LEAGUE*
21:00
1
Manchester Utd - Stoke City
*ARGENTINA - TORNEO DE VERANO*
02:10
1
Boca Juniors - Godoy Cruz
00:10
1
Rosario Central - Lanus
*PORTUGAL - PRIMEIRA LIGA*
22:00
2
Estoril - FC Porto
20:00
1X
Moreirense - Vitoria Setubal
*SPAIN - PRIMERA DIVISION*
21:00
1
Betis - Leganes
*INTERNATIONAL TOURNAMENTS - FLORIDA CUP*
22:00
1
Fluminense - Barcelona SC
*GREECE - SUPER LEAGUE*
18:30
1
Olympiakos Piraeus - Lamia
*ISRAEL - DIVISION 1*
20:00
X2
Maccabi Haifa - Maccabi Tel Aviv
*MEXICO - CLAUSURA*
01:00
2
Veracruz - Monterrey
*FRANCE - LIGUE 2*
20:45
1
Lens - Sochaux
*ALGERIA - FA CUP*
17:00
1X
JS Saoura - ES Setif
*CYPRUS - DIVISION 1*
18:00
1
Alki Oroklinis - Olympiakos Nicosia
*ISRAEL - DIVISION 2*
18:00
1
Hapoel Kfar Saba - Hapoel Rishon LeZion
18:00
1X
Hapoel Tel Aviv - Beitar Tel Aviv
18:00
X2
Hapoel Marmorek - Hapoel Petah Tikva
18:00
1
Hapoel Katamon - Hapoel Bney Lod FC
*FRIENDLY GAMES - FRIENDLY*
13:00
1
Lask Linz - FC Vaduz
14:00
1
FC Liefering - Wolfsberger AC
*UNITED ARAB EMIRATES - PRESIDENT CUP*
17:05
X2
Fujairah SC - Hatta SC
14:05
1X
Al-Shabab Dubai - Al-Urooba
*INDIA - I-LEAGUE*
15:30
1X
Gokulam Kerala - Churchill Brothers
*NETHERLANDS - EERSTE DIVISIE*
20:00
2
FC Oss - NEC Nijmegen
20:00
X2
Jong AZ - Cambuur
*AFRICA (CAF) - CAF AFRICAN NATIONS CHAMPIONSHIP*
20:30
1
Nigeria - Rwanda
17:30
1
Libya - Equatorial Guinea
*ENGLAND - ISTHMIAN LEAGUE*
20:45
1
Kingstonian - Worthing
*BAHRAIN - KING S CUP*
15:45
X
Al-Hala - Al-Ittihad
18:15
1X
Al-Najma Club - Manama Club
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
 
Tumeanza kutia tick olympiacos under 4.5 [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]
 
Watu wanahisi hii game ilikua fixed match, ndio sabab refa kakataa goli zote mbili na kutoa tuta dying minutes
Hii Game nilikua Hunter's nakunywa Bear sasa kucheki Flashscore goli 2 ghafla navuta chupa nyingne naona 0-0 nikajua either goli za Tel aviv ndo walijichanganya wakaziupdate tofaut all in all mapambano yaendeleeee[emoji109] [emoji109]
 
@BASIAS
kaka nimeshindwa ku quote messages yako coz ndefu ila mbona kuna mechi nyingne zimechezwa tayar kama Lask linz vs vaduz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…