Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilianza na 45k nikapiga mpak ikafka na 75k hiyo ilkuwa asubuh kufikia jana jioni nikapigwa yooote nkaenda kudraw benk jana 48k kufkia saa 6 usiku nmepgwa yoote mkuu.
Utarudisha yote cheza tennis
Kesho Novak federer win
 
Nilianza na 45k nikapiga mpak ikafka na 75k hiyo ilkuwa asubuh kufikia jana jioni nikapigwa yooote nkaenda kudraw benk jana 48k kufkia saa 6 usiku nmepgwa yoote mkuu.
Ukiwa unacheza inplay kila pesa unayokula inabidi uitoe achana na mambo ya kusema unakuza mtaji, muda mwingine pesa inapokua nyingi nje ya scale yako unaweza kuingiwa tamaa na kutaka kui double kumbe ndo unaipoteza
 
Kweli mkuu nitaufanyia kaz ushaur wako ngoja nifanye utaratibu wa kutafuta mtaji alafu zile za inplay tuwe tunashirikiana.
 
Rublev kashinda.[emoji122]
 
Ukiwa unacheza inplay kila pesa unayokula inabidi uitoe achana na mambo ya kusema unakuza mtaji, muda mwingine pesa inapokua nyingi nje ya scale yako unaweza kuingiwa tamaa na kutaka kui double kumbe ndo unaipoteza
Ngoja nitoe kabisa sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…