Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi inavyokuwa over na under kwenye soccer zinamaanisha nn kwenye betting
 
guingamp vs lyon 1.5
amiens vs montpellier DNB2
psg vs dijon AH1-1
ODDS4 .
kabla sijatia mzigo mawzo yenu ni muhimu
 
Shimo limetema mkuu.

Nenda kanunue dinner safi ya kula familia leo usiku!
Aisee baada ya vichapo, nilivyoplace bet nikaacha kabisa kufuatilia game. Angalau nimesogea kidogo japo cjarudisha bado nilichopoteza. Natumai bado mkeka mmoja nijilipue baada ya huu. Hongera sana mkuu Rumisha....

Twende pamoja kumuangamiza Khanji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…