Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Aisee baada ya vichapo, nilivyoplace bet nikaacha kabisa kufuatilia game. Angalau nimesogea kidogo japo cjarudisha bado nilichopoteza. Natumai bado mkeka mmoja nijilipue baada ya huu. Hongera sana mkuu Rumisha....
Twende pamoja kumuangamiza Khanji
Na mapambano yaendelee kwa sasa tunasubilia mkeka wa supper na dinner mkuu....**************
UPDATES!
OFFICIALLY BET WON!
Tulioanza safari hii. Tumeihitimisha kwa ushindi.
Ashukuriwe muumba wa mbingu na ardhi.
View attachment 677881View attachment 677882
Mkuu koncho hiyo game ya supersport DC ya nani hiyo.View attachment 677887 odds 1.77
Yaani mkuu upo kama mm dah! Kichapo cha hatari.Hatari sana,sijui nimepatwa na tatizo gani baada ya kuchezea vichapo kila nikitaka kuplace bet roho inasita hatimae nakosa pesa
Mi mwenyewe nacheki tu migodi inatema kwa sasa sichimbi kwanzaHakika, ngoja nile kwa macho tu kwa sasa mpaka kichwa ipate ubaridi
Ila mkuu uko vizuri basket nakufuatilia san.Pamoja mkuu! Nilitembea na wachina, nilipoona huu unaelekea kutema. Ndiyo nawasubiria hapa. Wachina huwa hawatabiriki kama Wakorea tu. Unaweza kushangaa wakaanza kukata viuno tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mauno ya wachina ni zaid ya H baba au fally ipupa.Pamoja mkuu! Nilitembea na wachina, nilipoona huu unaelekea kutema. Ndiyo nawasubiria hapa. Wachina huwa hawatabiriki kama Wakorea tu. Unaweza kushangaa wakaanza kukata viuno tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mauno ya wachina ni zaid ya H baba au fally ipupa.
Ila mkuu uko vizuri basket nakufuatilia san.
Mzee, Mkeka wa Jioni vipi? Hii saa kumi na kumi na moja.Pamoja mkuu! Nilitembea na wachina, nilipoona huu unaelekea kutema. Ndiyo nawasubiria hapa. Wachina huwa hawatabiriki kama Wakorea tu. Unaweza kushangaa wakaanza kukata viuno tu....
Asante ndugu yangu Mr ZZ Rumisha nimeendelea kutengeneza chakulaHabari za asubuhi wadau wenzangu?
Leo natest mitambo hivi! Basket Ufilipino na South Korea!
View attachment 677703
iAhsante mkuu. Najaribu upepo tu, muhindi huwa atupa za uso pia.
Jana nilitaka kuwapa wakorea zile games 2 Over 160.5 Total Points nafsi ikasita. Nimekuja kuangalia nikaona zimetoa. Leo nikasema siachi kuwapa Over 160.5 Total Points. Nashukuru wametoa.
Kuna kipindi walikuwa wanashindwa kufikisha hizo points walinipa za uso hatari, naona break waliyoenda wamerudi wako njema mpaka hapo watakapochoka...
Match ya xianjing walikuwa wamewapa over 47.5 afu odd 1.88 na ipo dakika ya 3 vijapu vishafika 28How?
vp taratibu zao za kuweka hela unawekaje?na vp kuhusu kutoa hamna usumbufu?
Tangia nimeanza kutumia sijakutana na usumbufu wowote.vp taratibu zao za kuweka hela unawekaje?na vp kuhusu kutoa hamna usumbufu?
Nyama choma iko wapi hapo chief, mi nilishatuma M-PESA kwa wife achukue steki kilo na nusu aitengeneze mapema kabisa alaf nitapitia kwenye ile mini supermarket mpya iliyofunguliwa nimchukulie juisi ya box mimi nitajua nashushia na nini iyo nyama chomaPole mkuu! Wengine tumeishapata dinner tayari!
Huku tukipoza tukilainisha koo kwa Bapa kidogo.
View attachment 677883
okay mpaka hapo nimekuelewa vzr sana na kiwango cha kubet minimum ni kiasi gani?2.ukiwin wanakutumia hela baada ya muda ganiTangia nimeanza kutumia sijakutana na usumbufu wowote.
KUWEKA: Kama unatumia browser na umeshajisajiri
Jaribu kwa kutuma kiwango kidogo cha fedha ili kupata uzoefu mfano sh. 2000
Lipia bili kwenda namba 400700
Kumbukumbu namba 008 dusupay
Kisha nakili namba ya muamala pembeni, mfano(49555101863)
Kisha Rudi kwenye Browser yako
Nenda kwenye deposit
Select hapo kwenye kijani then shuka chini utaona mitandao iliyopo tanzania na utachugua unaotumia
Utaingiza kiasi ulichotuma,
Hiyo namba ya muamala utaiingiza kwenye sehemu imeandikwa Transaction ID
Tangia nimeanza kutumia sijakutana na usumbufu wowote.
KUWEKA: Kama unatumia browser na umeshajisajiri
Jaribu kwa kutuma kiwango kidogo cha fedha ili kupata uzoefu mfano sh. 2000
Lipia bili kwenda namba 400700
Kumbukumbu namba 008 dusupay
Kisha nakili namba ya muamala pembeni, mfano(49555101863)
Kisha Rudi kwenye Browser yako
Alafu ni mnaijeria **** la mamakehuyu jamaa anataka kuniingiza mjini wakat mm mwenyewe wa mjini heheheeeee.
Yeah ni mnigeria aiseeAlafu ni mnaijeria **** la mamake