Mkuu vuta subira tu. Mie juzi nilikaa 24 hrs ndio muamala ukadosoma. Ila wametuma msg kuwa wa nafanya marekebisho makubwa kuhusu miamala kwa hiyo tuwe watulivu na wavumilivu.WAKUU HIVI HAWA SPORTPESA WAKO VIPI KWENYE HUDUMA ZAO,NIMEJIUNGA NAO LEO NIKAFANYA DEPOSIT ILA NI MASAA 3 SASA ACCOUNT HAISOMI CHOCHOTE,NIFANYEJ?.
Ahsante sana kiongozi ngoja nivute subira,Shukran sana!!.Mkuu vuta subira tu. Mie juzi nilikaa 24 hrs ndio muamala ukadosoma. Ila wametuma msg kuwa wa nafanya marekebisho makubwa kuhusu miamala kwa hiyo tuwe watulivu na wavumilivu.
Mechi zote cheza 2 way...yaani Home including OT ama kama ni Away basi iwe Away including OT.Usiiache hii pesa tafadhaliWakuu hizi hapa odds 10 za basket nimejiridhisha baada ya kuzifanyia analysis ya kutosha
Torino v Lietuvos Rytas-2 (1.88)
Keravnos v Cluj Napoca-1(1.70)
Buducnost v Trento - 1 (1.60)
Bakken v Szolnoki- 2 (1.80)
Strasbourg v Venezia-1 (1.32)
Mechi zote zinapatikana kwenye European leagues yaani kwenye Eurocup,Fiba Europe cup,Europe Champions league.Kila la heri wakuu
Wakuu hizi hapa odds 10 za basket nimejiridhisha baada ya kuzifanyia analysis ya kutosha
Torino v Lietuvos Rytas-2 (1.88)
Keravnos v Cluj Napoca-1(1.70)
Buducnost v Trento - 1 (1.60)
Bakken v Szolnoki- 2 (1.80)
Strasbourg v Venezia-1 (1.32)
Mechi zote zinapatikana kwenye European leagues yaani kwenye Eurocup,Fiba Europe cup,Europe Champions league.Kila la heri wakuu
Sikuwa na Salio lkn hao WaKorea toka jana niliwaona na dalili njema ya over 160.5
NBA is a best choice for now..... Mengine popoma tu..
Mkuu hawa wachina wamekuacha salama kweli?
Mkuu ahsante kwa ushauri but nikuhakikishie mi ni mzoefu wa miaka mi4 sasa kwenye basket...nimewekeza muda mwingi sana kwenye industry hii ya Basketball.Then option ambayo unaweza kuitabiri precisely kwenye kikapu ni direct win tu na si kingine.Hizi under na over ni purely by chance.Direct Win ya Basketball ni hatari kwa afya yako tena ni Fiba Europe ndiyo kwanza bado mbichi inaenda 3rd round.
Europe cup ndiyo mbabe huwa hatabiriki.
Utanikumbuka kama utaufanyia kazi ushauri wangu. Tuombe mungu zitoe! Mungu wetu sote.
Sitaweza kukuchambulia kila mechi kwa sababu uchambuzi wa Basketball unahitaji muda mwingi sana.
Hamna penye afadhali kumbe....sio football tuu hadi Basketball mambo sio mepesi duuu....kweli Imani muhimu*******************
Mkuu, hawajaniacha salama. Wamepita na changu, japo niliwaogopa sana nikatia 10k kupima upepo. Na kweli wamesepa nayo...
View attachment 677949
Mkuu ahsante kwa ushauri but nikuhakikishie mi ni mzoefu wa miaka mi4 sasa kwenye basket...nimewekeza muda mwingi sana kwenye industry hii ya Basketball.Then option ambayo unaweza kuitabiri precisely kwenye kikapu ni direct win tu na si kingine.Hizi under na over ni purely by chance.
MKUU HIVI NAMBA YA KUMBUKUMBU YA MALIPO KWA SPORT PESA NI IPI?.Mkuu vuta subira tu. Mie juzi nilikaa 24 hrs ndio muamala ukadosoma. Ila wametuma msg kuwa wa nafanya marekebisho makubwa kuhusu miamala kwa hiyo tuwe watulivu na wavumilivu.
Mkuu ahsante kwa ushauri but nikuhakikishie mi ni mzoefu wa miaka mi4 sasa kwenye basket...nimewekeza muda mwingi sana kwenye industry hii ya Basketball.Then option ambayo unaweza kuitabiri precisely kwenye kikapu ni direct win tu na si kingine.Hizi under na over ni purely by chance.Direct Win ya Basketball ni hatari kwa afya yako tena ni Fiba Europe ndiyo kwanza bado mbichi inaenda 3rd round.
Europe cup ndiyo mbabe huwa hatabiriki.
Utanikumbuka kama utaufanyia kazi ushauri wangu. Tuombe mungu zitoe! Mungu wetu sote.
Sitaweza kukuchambulia kila mechi kwa sababu uchambuzi wa Basketball unahitaji muda mwingi sana.
Nilihisi hivyo maana mwendo wao wa vikapu haukuwa mzuri*******************
Mkuu, hawajaniacha salama. Wamepita na changu, japo niliwaogopa sana nikatia 10k kupima upepo. Na kweli wamesepa nayo...
View attachment 677949
Nilihisi hivyo maana mwendo wao wa vikapu haukuwa mzuri
Min Sh. 300okay mpaka hapo nimekuelewa vzr sana na kiwango cha kubet minimum ni kiasi gani?2.ukiwin wanakutumia hela baada ya muda gani