Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umeongea kwa kujiamini sana na nimeshawishika kukufuata bt niongezee confidence kidogi hasa kwa hao Strasbourg, na hao wanaocheza na Torino na je viwanja ni Neutral au kuna hme na away?
Strausbourg ni team hatari sana inapokuwa home.Na leo anacheza nyumbani kwake tena akitoka kupoteza game mbili za michuano hii.Na anayecheza nae ni Venizia toka Italy ambae mechi za away kwake ni tatizo.But hata hivyo in general team za France kama Strasbourg,Nantere,Monaco,LePotel zni superior ukizilanganisha na team za Italy.Then kuhusu game ya Torino v Lietuvos ni kwamba Lietuvos anatoka kwenye nchi ambayo wana league competitive sana ya kikapu ndani ya Europe.Anatoka Lithuania kwa kina Zalgris,Lietkbas,Neptunes etc na nyumbani kwao ni mbabe balaa.Then ukiangalia odd aliyopewa Torino(1.97) tena akiwa nyumbani kwake ni dhahiri kabisa hachomoki hapa
 
Safi sana mkuu,kama hutojali waweze waelezea na hao wengine ili tuweze kupata elimu pana zaidi ambayo tunaweza itumia kwa baadae
 
NK RODMJE OV2.5
[HASHTAG]#WOOOOOOOOON[/HASHTAG]

NAONA WAMEPITILIZA ZAIDI LOH
 
Nitajaribu huu
 
SHABAB OV 2.5 INP
NW 0-4
[HASHTAG]#WOOOOOOOOOOOON[/HASHTAG]
 
BESKITA
OV 0.5/1.5 HT
OV2.5 FT
IKIPENDEZA GG
KALESUPUU
 
Energies cotbus OV 2.5
[HASHTAG]#woooooooooooooon[/HASHTAG]
0-3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…