Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ebu plz nipe muongozo naji register nimekwama somewhere
Binafsi nmefanya registration kupitia " fast registration" method

Hii ukishainstall app,

Kuna sehemu ya kulog in

Unaachana napo,
Chini yake kushoto, unabonyeza "New user"

Utaletewa njia za registration.

Chagua "fast registration"

Ni kitendo tu cha kuingiza No. za simu (+255.....) na kuchagua currency (Tanzania shilling)

KAZI KWISHA.
 
In play galatasary 1xbet
Dakika 21-25 no goal no corner no offside ODDs 29
Ha ha ha....
Ni mjinga wa aina gani unaikosa Pesa km hiyo.

Yaan kwa hzo option&odds hata mkeka ukichanika huwez lalama

Maana mda wowote hela inarudi tu easily tena na faida juu
 
Naam mkuu, maana wakifungwa au draw Zidane atarudi Algeria kula tende.


Hahahah ... kabisa Chief. Leo hata km akina Ronaldo, Bale hawatakuwepo bado naamini Madrid watashinda japo hata kwa ushindi mdogo.
 
Iyo juu ndio link pia hawakati 18%, pia kudepositi ni instantly within a minute
 
Nishafanya kila kitu nataka nitie mzigo ila nashindwa stake wanawekaje msaada tafadhali
 
Naona mmehama princess...basi poa na mm ndio nishahama kwa muda kutafuta chimbo lingine,likinishinda narud zang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…