Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante mkuu nkwa Ku samaraizi
 
Duuh kuna timu huwa zinabet sio bure ... yani Olympiakos Quarters 4 anacheza vikapu hivi kwli???? grrrrrrrrrrrrrrrrrr


 
Tayar mkuu
Kisha unabonyeza top up hapo kuna mifumo haina mbili
1. Inaweza tokea moja ina pesa shilingi 2000 kikiwa ni kibox kimoja tu chenye hio pesa iyo ni dusupay

2. Vibox viwili kimoja kimeandikwa 1500 cha chini sehemu ya kuandika namba iyo ni mpesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…