Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama ni dusupay andika kiasi bonyeza next itaenda kwenye dusupay hapo utachagua nchi then mtandao alafu watakupa proceed palepale then unabonyeza continue itafunguka sehemu utaandika namba ya simu jina lako kiasi namba za muhamala yani transaction id na email then kazi kwisha
 
Duh,
HAWA olymp ni timu ya Pesa.

Binafsi km ningebet,ningewapa tu direct win bila mashaka.

Sjui wamepatwa na nn Leo.



Yani mkuu kinachoenda kutokea hata siamini ... na mm niliwapa Direct Win, lkn anaenda kuharibu kazi yoooote nzr iliyofanywa na wengine. INAKERA sn aiseee .... Odds 17 hazina maana tena

 
Kisha unabonyeza top up hapo kuna mifumo haina mbili
1. Inaweza tokea moja ina pesa shilingi 2000 kikiwa ni kibox kimoja tu chenye hio pesa iyo ni dusupay

2. Vibox viwili kimoja kimeandikwa 1500 cha chini sehemu ya kuandika namba iyo ni mpesa
Kwa hyo cha 1500 hapo chini ni kwa mpesa tu?

huruhusiwi kudeposit kwa airtl money au inakuaje?

Ufafanuz tafafhar
 
Njia mamba mbili lama ilileta kiasi namba namba ya simu ukiandika namba watakutumia push SMS then ingia mpesa lipa kwenda 400700 alafu namba ya malipo ni 0081bet kisha kiasi then umemaliza ni simple tu sema maelezo ndio yanakuwa complex
 
hapana mkuu fasta registration kwa mwekezani kama wewe haipendezi, nenda kwa browser jisajiri hata njia Facebook, watakutumia link ya kuactivate email/namba hapo utakuwa umemaliza kazi
 
hapana mkuu fasta registration kwa mwekezani kama wewe haipendezi, nenda kwa browser jisajiri hata njia Facebook, watakutumia link ya kuactivate email/namba hapo utakuwa umemaliza kazi
Changamoto zake ni zipi mkuu,

VP naweza kufanya full registration baada ya kutumia kwa muda fast registration?
 
HT
Osasuna 0 - 1 Gimnastic Tarragona


Anachokifanya anajua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…