Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi odds nzr sn ... huyu Crvena Zvezda naona akishinda hii game ...



View attachment 679087
Juz kaonyesha performance ya kijinga sn akiwa home ground akicheza na khimki.

Sio timu ya kuaminika kwa sasa, maana hicho kikapu kina home advantage.

Afu kwa upuuz anafungwa kizembe akiwa home.

Huko away si ndo atatia aibu kabisa?
 
Galatasay OV 2.5
Kaziimeisha
[HASHTAG]#wooooooon[/HASHTAG]
Naaubiria win
Single tips
0-3
 
Juz kaonyesha performance ya kijinga sn akiwa home ground akicheza na khimki.

Sio timu ya kuaminika kwa sasa, maana hicho kikapu kina home advantage.

Afu kwa upuuz anafungwa kizembe akiwa home.

Huko away si ndo atatia aibu kabisa?
Anashinda home ngojanionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…