Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

5 min

Nmerefresh,lakin Naona bado inasoma zero balance.
View attachment 679235
mkuu nadhani maelezo hapo juu yamejitosheleza. ukiwa na voda ni rahisi sana tofauti na mitandao mingine. nasema hivyo kwa sababu juzi kati kuna dogo aliniomba nimsaidie kudepost kwa njia ya airtel, pesa ilipotelea hewani hadi sasa haijarudi. ubawa wa airtel ukicopy muamala ukipaste kule unagoma kusoma yaani sijui kwanini. ushauri tumia m.pesa kudepost
 
Waliiofwataaa single tips

[HASHTAG]#BETWOOOOOOOOON[/HASHTAG]
 
Shukran,
Afu Kipi kinapaswa kutangulia?

Kulipa kwanza Pesa kupitia airtl money au kuanzia kwny ile form kwny top payment?

Au hakuna kanuni , nawz anzia kokote mkuu.

Ufafanuz tafadhar
Kutuma kwanza pesa, kisha nakili namba ya muamala utaenda kuijaza kwenye Transaction ID page ya mwisho kwenye Dusupay
 
Duh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.

Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
Airtel inaonekana kuna shida maana mi pia nimejarib chenga muamala unagoma kwenye ile form pia nkajaribu kuondoa MP pia imegoma
 
Duh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.

Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
kuna sms nimeandika hapo ila nadhan hukuiona kabla hujamalizia muamala wako
rudia hatua zote ikifika sehem ya kuandika huo muamala weka ile code number inayo ambatana na sms ya uthibitisho wa malipo

pesa yako haijapotea kwasabb mimi mwenyewe nilikosea hivyohivyo kwenye mcheza.com ila nimeingiza namamba ya muamala na hii ni baada ya miez miwili nimeshangaa salio linasoma

kwa leo nimemaliza gud nyt all
 
Premierbet na Supabets voda hawakati ila kwa Princess wanakata
 
Kutuma kwanza pesa, kisha nakili namba ya muamala utaenda kuijaza kwenye Transaction ID page ya mwisho kwenye Dusupay
Okay kwahyo kumbe ujanja ni kutuma kwanza pesa kama unavyomtumia mtu, kisha ukipata hizo details za muamuala ndio unaenda kule ktk akaunt yako kufanya mchakato wa ku deposit, right?
 
Spain
Match: Leganes - Real Madrid
Tip: FT 2
Time: 23:30
Extra tip: 3+

Brazil
Match: Santos Un19 - International Un19
Tip: GG
Time: 23:30

Gnyt tips
Extra tip: FT X
 
Ebu anaetumia airtel money atujuze vizur maana huko juu maelezo naona ni Mpesa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…