Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.

Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
mkuu haunaga voda, m.pesa? mkuu kabla sijaelewa nakosea wapi nilishapoteza miamala miwili kbsa hadi nikahisi jamaa matapeli, ila tatizo liko kwenye mitandao ya sim , tumia voda/dusupay ni ya uhakika hata dk haifiki tena SAA zingine pesa inaingia bila hata kupaste muamala
 
Okay kwahyo kumbe ujanja ni kutuma kwanza pesa kama unavyomtumia mtu, kisha ukipata hizo details za muamuala ndio unaenda kule ktk akaunt yako kufanya mchakato wa ku deposit, right?
Ndio hivyo, huku ukiwa umeiandika pembeni namba yako ya muamala
 
kuna sehem hujaenda sawa.
wakuu, naona kama kulipia through m-pesa ndo simple sana
Yan ni kitendo cha kujaza namba yako tu hapo ya cm then una confirm.. Baada ya hapo unaingia kweny menu ya m-pesa (*150*00#)
Select no4 (lipa kwa m-pesa)
Select no4 (no ya kampuni ambayo ni "400700")
Weka kumbkmb no " 0081bet"
Weka kiasi (1500)
No ya siri
Confirm
Then ukifungua kwe account yako na ku-refresh mzigo unasoma
 
Ebu anaetumia airtel money atujuze vizur maana huko juu maelezo naona ni Mpesa tuu
hakuna tofauti labda sijui sms za Airtel zinakuja ktk mfumo upi

 

Attachments

  • IMG_20180118_233054_988.JPG
    69.4 KB · Views: 39
Mm imekubali
 
Wakuu,
Hela yangu haijasoma mpk sahv.

Hii ni kawaida tu au ni kwangu tu?
Mimi mwenyewe nshaangaika mpaka kichwa kimechiz bado pesa haijasoma sjui nakosea wap maana nikilud kule naona km naanza process upya za kudepost.
 
Mimi mwenyewe nshaangaika mpaka kichwa kimechiz bado pesa haijasoma sjui nakosea wap maana nikilud kule naona km naanza process upya za kudepost.
anza process upya kisha hapo kwenye transaction ID weka namba inayokuja na sms ya uthibitisho
 
[1/18, 23:37] G.E.M: ZURIA FC
ZAMORA
OV 2.5


Hume city
Felfin

OV 1.5
[1/18, 23:37] G.E.M:
RMADRID FT
2-2/3-3
 
Kutuma kwanza pesa, kisha nakili namba ya muamala utaenda kuijaza kwenye Transaction ID page ya mwisho kwenye Dusupay
Mkuu shida inaweza tokea kama atalipia alafu wakati anaenda Ku deposit wakamletea ile njia ya bila dusupay mi ishawai ntokea nilikaa kama sikutatu ndio ikarudi dusupay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…