Hapo mkuu ni kama uliverify vizuri kabisa na imechukua masaa 24 na pesa haijasoma kwenye akaunti yako ni kama umenunua luku kwa simu na haujapata majibu. Ila wewe haujamaliza kuverify kwa hiyo tatizo bado lipo kwakoHii ndicho walichonijibu customer service.
Nmebaki na maswali kichwani.
"Ina maana gan wao kuwepo live chat wkt km MTU ana complains.
Wanaona Solution ni kumbwagia link akapambane mwnyw"
Kingne km utaratibu wa kudeposit ni 1min mpk 24 hr.
Ina maana nkitaka kubet kesho kutwa sharti nideposit hela Leo usiku.
Honestly, sijaipenda support service yao.
Ni bora tu wamwage link za complains n suggestion website nzima, watu wa tufanye tu kutumia msg .
Zikijibiwa,hazijibiwi. Poa tu iwe ni bora liende.
kuliko kua live afu hawawezi kushughurkia tatizo LA MTU instantly.
OFF MOOD
View attachment 679339
Hawa jamaa inaonekana ni changamoto bakini tu princess bet wakuu
Umetumia njia ipi?Hata mm nimetumia "Mobile Payment" method ... mpk sasa hela haijasoma kwny account. Nimejaribu kuchat nao wananiambia nisubiri saa moja na km bado haijaingia basi niwatumie email ...
View attachment 679366
Changamoto nyingi zinatokana na ugeni wakisha zoea kuweka na kutoa ni rahisi tu.Hawa jamaa inaonekana ni changamoto bakini tu princess bet wakuu
Umetumia njia ipi?
Mbona kuna njia rahisi hapo mdau kapendekeza na nikaijaribu kuitumia muamala fasta umesoma kwenye akauntiSure mkuu ... inaonekana wana mlolongo sn kudeposit hela, which discourages users. Hizi processes (kudeposit/kuwithdraw) inatakiwa zile rahisi kufanya (user friendly).
Sure mkuu ... inaonekana wana mlolongo sn kudeposit hela, which discourages users. Hizi processes (kudeposit/kuwithdraw) inatakiwa zile rahisi kufanya (user friendly).
Mbona kuna njia rahisi hapo mdau kapendekeza na nikaijaribu kuitumia muamala fasta umesoma kwenye akaunti
Namba ya kampuni ni 400700
Kumbukumbu namba 0081bet
Yes , kama ilivo mkeka bet yaani kuhusu uharaka wa pesa mkeka bet ni kiboko hapa tanzania ni vile wana options chache tu na kukata 18%
Jaribu ku refresh pageYes ndio niliyotumia mimi ...
- Mobile Payment ---> nikachagua Vodacom ---> nikaweka Amount then nika Confirm.
Nikachukua simu, nikafuata taratibu za kulipa Bill then namba ya kampuni 400700, kumbukumbu ya malipo 0081bet
Lakini bado haijaja kwenye account.
SANTOS 0-3INPLAY
SANTOS YTH OV 2.5
USA W OV 1.6
Jaribu ku refresh page
Hamshaaaa popooo wakulaliaa huoi from gd src