Nomba nitoe comment kuhusu kampuni hizi za kubeti kwa wale watu wapya wanao penda kujiunga kampuni yoyote ya kubeti ni hivi kuna kampuni nyingine ziko simple kujiunga kwa wale wanao tumia simu ziko simple ila nyingi unatakiwa uwe na pc inakuwa vizuri sanaa yani maelezo na muonekano unakuwa mzuri sana wakati unajiunga nimeona malalamiko mengi wanoa jiunga
PrincessBet na 1xbet hizi ni moja ya kampuni unatakiwa uwe na pc kama kwenye ishu ya lugha mtihani maana humu wengi tume tofautina uelewa hatupo sawa na ata utundu wakutumia hizi smartphones au lugha za kizungu mtihani me na shauri kama inawezekana ebu tafuta pc japo na mshikaji ujiunge na vitu vidogo sana watu wanakosea bila wao kujua na wanakuja hapa kulalamika ila wengi wao wanakuwa wao ndio wana makosa na sio kampuni ebu jitaidini basi kufata maelekezo jinsi ya kujiunga hizo kampuni ni hayo tu hapa tupo sababu ya kusaidiana pia Ahsante