Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unafanyaje kudeposit tigo?

Ukiclick hiyo option! Unajaza namba ya simu ikianza na Mfano: 255 714 1...........! Then Minimum amount, baada ya hapo unakamilisha process. Then unaenda kwenye menu ya Kawaida ya Tigopesa unaclick namba 4, then kumbukumbu namba 400700 then unaandika 0081bet then kiasi ulichoingiza mwanzoni! Unamalizia na password, muamala unakuwa umesoma!

Natumaini utakuwa umenisoma, siyo expert sana wa 1xbet ndiyo nimeingia leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…