Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata mimi imechukua chini ya Dk 1 hela kuingia kwenye akaunti.

DeepPond sijui alikwamia wapi, hlf mimi nimefuata tu maelezo ya 1bet wenyewe sijahangaika kusoma maelezo ya wadau humu.
Kuna maelezo ya kudeposit wamenitumia kwny email.

Hebu ngoja nifanye kudeposit tena kwa utulv zaid nione km itakubal
 
Inavyokuwa over 3 na over 3.5 tofauti yake nn
Over 3 (kwenye mechi yakipatikana magori matatu net unarudishiwa pesa uliyo betia, ili ushinde yapatikane zaidi ya matatu) Over 3.5 (yanatakiwa yapatikane magori zaidi ya matatu ili ushinde)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…